Skip to content
FiFi Finance Kiswahili
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana

Vincent

Vincent ni mwandishi wa habari kutoka Kenya. Ana digrii ya takwimu aliyoipata kutoka Chuo Kikuu cha Eldoret.
coworking space kenya

Ofisi Bora 7 za Kushirikiana Nchini Kenya

Maeneo ya kazi ya kushirikiana ni mahali ambapo watu hukutana na kazi kwa kujitegemea. Wanaweza kufanya kazi katika vikundi au binafsi. Maeneo ya kazi ya kushirikiana

Categories Afrika, Biashara Chipukizi, Kenya
biashara chipukizi startups kenya

Biashara Chipukizi Zenye Ufadhili Mkubwa Nchini Kenya

Kenya ni mojawapo ya nchi zinazoongoza katika uvumbuzi wa kiteknoljia katika Afrika. Hii ndiyo sababu mazingira yake ya kiteknolojia nchini humo ni maarufu kwa jina la

Categories Afrika, Biashara, Biashara Chipukizi, Kenya

Mawazo ya Kibiashara Kwa Wanafunzi Vyuoni Nchini Kenya

Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha bila gharama

Categories Afrika, Ajira, Kenya
biashara uwekezaji kenya

Vitega Uchumi Vilipavyo Malipo Kwa Kila Mwezi Nchini Kenya

Katika uchumi huu wenye changamoto nchini Kenya, watu wanaangalia njia zitakazowawezesha kupata fedha. Njia nzuri zaidi ni kuwekeza fedha kidogo uliyo nayo ili kuweza kuzalisha mifereji

Categories Biashara, Kenya, Uwekezaji

Mafunzo Muhimu kwa Bara la Afrika Kutoka kwa Mshindi wa Tuzo la Nobel, Esther Duflo

Esther Duflo ni mchumi Mmarekani aliyezaliwa Paris, Ufaransa tarehe 25 Oktoba 1972. Yeye ni Profesa wa Kupunguza Umaskini na Maendeleo ya Uchumi katika Taasisi ya Teknolojia

Categories Africa, Afya, Elimu, Kenya, Uchumi
ajira kenya

Ajira Zenye Malipo Bora na Malipo Duni Nchini Kenya

Data rasmi kutoka kwa Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS) zinaonyesha kuwa idadi ya Wakenya wanaopata chini ya shilingi 30,000 kwa mwezi imeongezeka kwa

Categories Afrika, Ajira, Kenya

Silicon Savannah: Jinsi Vitovu vya Kiteknolojia Vinachangia Kukuza Uchumi

Nairobi imekuwa chimbuko la uvumbuzi nchini Kenya, na huku kumechangia sana kuongezeka kwa mazingira ya kiteknolojia maarufu kama ‘Silicon Savannah.’ Mazingira haya ya kiteknolojia yamegeuza Nairobi

Categories Afrika, Biashara, Kenya, Maalum, Teknolojia
biashara mtaji mdogo kenya

Biashara 6 Unazoweza Kuanzisha kwa Mtaji Mdogo Nchini Kenya

Je, unatafuta biashara unayoweza kuianzisha nchini Kenya ukiwa na mtaji mdogo? Makala hii itakuonyesha biashara 6 ambazo unaweza kuanzisha mara moja kwa mtaji mdogo. Labda una

Categories Afrika, Biashara, Kenya

Uchumi wa Kenya na Sensa ya Watu na Makazi ya 2019

Kutokana na matokeo ya takwimu ya sensa ya watu na makazi 2019, Kenya ina idadi ya watu 47,546,296. Kati ya hayo, 23,548,056 ni wanaume huku 24,014,716

Categories Afrika, Kenya, Uchumi

Jinsi ya Kusajili Kampuni Nchini Kenya

Kusajili kampuni nchini Kenya imekuwa rahisi, tofauti na zamani ambapo mchakato ulikuwa ngumu sana. Serikali imeanzisha mchakato wa usajili wa mtandaoni ambao umeboresha mchakato huu. Haijalishi

Categories Afrika, Biashara, Kenya
Post navigation
Older posts
Page1 Page2 … Page4 Next →

Jamii

  • Biashara
  • Fedha
  • Bitcoin
  • Mikopo
  • Teknolojia

Nchi

  • Kenya
  • Nigeria
  • Afrika Kusini
  • Tanzania
  • Ghana

Kuhusu

  • Kuhusu FiFi Finance

Lugha zinazotumika

sw
Creative Commons License © 2019-2021 FiFi Finance. Kazi hii ina leseni ya kimataifa ya Creative Commons ya Attribution-ShareAlike 4.0.
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana