{"id":1392,"date":"2022-03-17T12:26:29","date_gmt":"2022-03-17T12:26:29","guid":{"rendered":"https:\/\/fififinance.com\/sw\/?p=1392"},"modified":"2023-05-09T07:49:50","modified_gmt":"2023-05-09T07:49:50","slug":"jinsi-ya-kuelewa-bitcoin","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/fififinance.com\/sw\/jinsi-ya-kuelewa-bitcoin","title":{"rendered":"Jinsi ya Kuelewa Bitcoin"},"content":{"rendered":"

Bitcoin<\/a> ni fedha za elektroniki zinazosambazwa na kutumiwa bila kusimamiwa na mamlaka yeyote kama vile kampuni, serikali au benki kuu. Shughuli za Bitcoin zinaweza kufanywa kwa uhuru kati ya watumiaji, bila ya kizuizi. Kutakuwepo na Bitcoin milioni 21 tu duniani. Haiwezekani kuongeza idadi yake. Wakati wa kuandika makala haya, kulikuwepo na Bitcoin zaidi ya bilioni 19 za Bitcoin duniani. Kiwango hiki ni cha chini ikilinganishwa na watu bilioni 8 ulimwenguni hivi sasa, na watu bilioni 11 kufikia mwaka wa 2100.<\/p>\n

Baada ya mgogoro wa kifedaha wa 2008\/9, imani ya umma juu ya serikali kusimamia fedha ilishuka chini. Watu walihisi kuwa wamesalitiwa na serikali ambazo zilipaswa kuwalinda. Baada ya mgogoro huo ambao watu wengi walipoteza fedha zao,\u00a0Satoshi Nakamoto<\/a> aliunda Bitcoin, sarafu ya kidijgitali isiyo na mdhibiti mmoja.<\/p>\n

Mwanzoni si watu wengi walichukulia Bitcoin kwa uzito. Ilichukua miaka 2 kwa Bitcoin kufikia thamani ya dola 1. Watu wengi hawakuelewa Bitcoin. Tatizo hilo bado lipo, ingawa dhana hiyo inabadilika haraka. Hebu tuangalie jinsi Bitcoin inavyofanya kazi na jinsi inavyoweza kukufanyia kazi.<\/p>\n

\n

Mambo ya Kufanya na Kutofanya Kuhusu Bitcoin<\/h3>\n