{"id":541,"date":"2019-11-29T11:03:29","date_gmt":"2019-11-29T11:03:29","guid":{"rendered":"https:\/\/fififinance.com\/sw\/?p=541"},"modified":"2023-05-09T07:38:49","modified_gmt":"2023-05-09T07:38:49","slug":"uchumi-wa-kenya-na-sensa-ya-watu-na-makazi-ya-2019","status":"publish","type":"post","link":"https:\/\/fififinance.com\/sw\/uchumi-wa-kenya-na-sensa-ya-watu-na-makazi-ya-2019","title":{"rendered":"Uchumi wa Kenya na Sensa ya Watu na Makazi ya 2019"},"content":{"rendered":"

Kutokana na matokeo ya takwimu ya sensa ya watu na makazi 2019<\/a>, Kenya ina idadi ya watu 47,546,296. Kati ya hayo, 23,548,056 ni wanaume huku 24,014,716 ni wanawake wanaowakilisha asilimia 50.5 na 1,524 waliorodheshwa kama wenye jinsia mbili. Sensa ya awali ya 2009 ilionyesha kulikuwa na jumla ya Wakenya milioni 37.7 hii ikiwakilisha ukuaji wa 2.2 wa baina ya sensa ya mwaka 2009 na 2019. Kiwango cha ukubwa wa kaya (familia) pia kilipungua kutoka 4.2 mwaka wa 2009 hadi 3.9 mwaka wa 2019.<\/p>\n

\"kenya
Kenya ni nchi ya kwanza ya Afrika kuwahesabu watu wa jinsia mbili.<\/figcaption><\/figure>\n

Kulingana na ripoti ya Benki ya Dunia, Kenya, inayojulikana kama “Silicon Savannah,”<\/a> inahitajika kubuni fursa kwa wakazi wake wanaozidi kukua. Kwa kuweka mazingira mazuri ya kutekeleza shughuli, wananchi wanaweza kuzindua kazi na hivyo kuukuza uchumi. Sekta ya Teknolojia Habari na Mawasiliano imekua kwa kiasi kikubwa cha kiwango cha 10.8% kutoka 2016. Kwa sababu hiyo, Kenya inapaswa kuanza kuikumbatia ajira ya kidijitali.<\/p>\n

\n

Sensa ya Kenya <\/h3>\n