Unachohitajika Kujua Kuhusu Ushuru Nchini Kenya
Watu wengi hawaelewi kwa nini serikali hulazimika kuwatoza sehemu ya mapato yao. Ni kawaida kwetu sote kuwa na matamanio ya kuishi katika nchi ambayo maendeleo yatatufaidi
Watu wengi hawaelewi kwa nini serikali hulazimika kuwatoza sehemu ya mapato yao. Ni kawaida kwetu sote kuwa na matamanio ya kuishi katika nchi ambayo maendeleo yatatufaidi
Esther Duflo ni mchumi Mmarekani aliyezaliwa Paris, Ufaransa tarehe 25 Oktoba 1972. Yeye ni Profesa wa Kupunguza Umaskini na Maendeleo ya Uchumi katika Taasisi ya Teknolojia
Kutokana na matokeo ya takwimu ya sensa ya watu na makazi 2019, Kenya ina idadi ya watu 47,546,296. Kati ya hayo, 23,548,056 ni wanaume huku 24,014,716