Masoko Maarufu ya Kufanyia Biashara Kwenye Mtandaoni Barani Afrika
Uwezo wa mawasiliano ya kimataifa kwa kompyuta umetoa nafasi kwa wauzaji wa Afrika kufanya biashara zao mtandaoni. Kuna mifumo mbalimbali ya mtandaoni barani Afrika ambayo husaidia
Uwezo wa mawasiliano ya kimataifa kwa kompyuta umetoa nafasi kwa wauzaji wa Afrika kufanya biashara zao mtandaoni. Kuna mifumo mbalimbali ya mtandaoni barani Afrika ambayo husaidia
Maeneo ya kazi ya kushirikiana ni mahali ambapo watu hukutana na kazi kwa kujitegemea. Wanaweza kufanya kazi katika vikundi au binafsi. Maeneo ya kazi ya kushirikiana
Venture Capital for Africa (VC4A) inawaunganisha wajasiriamali wa biashara chipukizi wa Afrika na ujuzi, mipango ya usaidizi, washauri na wawekezaji wanaohitaji ili kufanikiwa. VC4A ilianzishwa kwenye
Kenya ni mojawapo ya nchi zinazoongoza katika uvumbuzi wa kiteknoljia katika Afrika. Hii ndiyo sababu mazingira yake ya kiteknolojia nchini humo ni maarufu kwa jina la
Watu wengi hawaelewi kwa nini serikali hulazimika kuwatoza sehemu ya mapato yao. Ni kawaida kwetu sote kuwa na matamanio ya kuishi katika nchi ambayo maendeleo yatatufaidi
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha bila gharama
Afrika ni mojawapo ya maeneo yanayokua kwa kasi duniani. Iko katika awamu ambapo serikali na sekta binafsi zinajitahidi kuendeleza huduma zilizopo na mifumo ili kuambatana na
Uchumi wa Afrika kwa kiasi kikubwa huendeshwa na biashara ndogo na za wastani (SMEs). Hata hivyo, biashara chipukizi mara nyingi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kibiashara
Huduma za benki za Kiislamu au fedha kwa mujibu wa Uislamu ni jumla ya shughuli za benki au fedha ambazo zinaambatana na Sharia (sheria ya Kiislamu)
Biashara zilizoshirikishwa (franchise) ni leseni ya kibiashara ambayo inaruhusu mtu au biashara nyingine kuuza bidhaa au kutoa huduma kwa kutumia nembo na kitambulisho cha biashara nyingineyo.