Tathmini Ya 2022 Ya Yellow Card App
Yellow Card ni wakala wa bitcoin Tanzania na Kenya. Unaweza kununua bitcoin kupitia kampuni hii kwa kutumia pesa za rununu kama vile Mpesa, akaunti ya benki … Endelea kusoma
Yellow Card ni wakala wa bitcoin Tanzania na Kenya. Unaweza kununua bitcoin kupitia kampuni hii kwa kutumia pesa za rununu kama vile Mpesa, akaunti ya benki … Endelea kusoma
Bitcoin, pesa ya kidijitali iliyoanzishwa mwaka 2009, imeendelea kukua. Kufikia sasa, mtaji wa soko la Bitcoin ni kubwa kuliko kampuni nyingi kubwa kama vile Nike, IBM, … Endelea kusoma
Bitcoin ni fedha za elektroniki zinazosambazwa na kutumiwa bila kusimamiwa na mamlaka yeyote kama vile kampuni, serikali au benki kuu. Shughuli za Bitcoin zinaweza kufanywa kwa … Endelea kusoma
Afrika, Bitcoin, Kenya, Tanzania
Kadri umaarufu wa Bitcoin unavyozidi kuongezeka, watu wengi wamekuwa wakijiuliza jinsi ya kupata Bitcoin. Basi usiwe na shaka, tutakonyesha jinsi ambavyo unaweza kupata Bitcoin. Kwa kufuata … Endelea kusoma
Afrika Kusini, Bitcoin, Botswana, Ethiopia, Ghana, Kenya, Nigeria, Rwanda, Tanzania, Uganda, Uwekezaji
Bitcoin imekuwa ni mada tata. Ina majibu mengi kwa pande zote mbili. Kuna wana taaluma ya fedha kama Warren Buffet wanaoiita hila ambayo haiwezi kufanikiwa. Kuna … Endelea kusoma
Kununua Bitcoin, hakuhitaji mtu kuwa na fedha nyingi. Kwa bahati nzuri, hata kwa dola moja, bado waweza kununua sarafu za kidijitali. Sarafu za kidijitali ni fedha … Endelea kusoma
Bitcoin inazidi kupata umaarufu nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika kama vile Nigeria, Kenya, na Afrika Kusini. Wakati Watanzania wakionyesha nia ya dhati … Endelea kusoma
Afrika, Afrika Kusini, Bitcoin, Botswana, Kenya, Nigeria
Bitcoin na sarafu nyinginezo za kidijitali zinazidi kukubalika katika nchi za Afrika kama vile Botswana. Hata hivyo, pana ukosefu wa elimu ya jumla na ufahamu kuhusu … Endelea kusoma
Je unatarajia kutuma fedha Kenya? Unaweza kuwa na jamaa au rafiki nchini Kenya. Unaweza pia kuwa ni mfanyabiashara anayetaka kutuma fedha kwa kampuni yako Kenya au … Endelea kusoma
Bitcoin ni mfumo wa kwanza wa malipo ya dijitali usio na msimamizi ulioanzishwa mwaka 2009. Hata hivyo, kutokana na kutoeleweka kwa urahisi kwa mfumo wa sarafu … Endelea kusoma