Ushauri wa Jinsi ya Kutunza Pesa
Kuzingatia na kuendeleza mpango wa bajeti ni uamuzi muhimu kwa usimamizi wa mapato na gharama zako za kifedha. Kutayarisha mpango wa bajeti ni hatua ya kwanza … Endelea kusoma
Kuzingatia na kuendeleza mpango wa bajeti ni uamuzi muhimu kwa usimamizi wa mapato na gharama zako za kifedha. Kutayarisha mpango wa bajeti ni hatua ya kwanza … Endelea kusoma
Orodha ya Forbes ya watu tajiri zaidi ulimwenguni imejaa watu ambao walianzisha kampuni zao wakiwa vijana. Watu kama Mark Cuban, Bill Gates, na Michael Dell walijijengea … Endelea kusoma
Watu wengi barani Afrika wanatatizika kifedha kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Licha ya kuwepo na ongezeko la mshahara, ni asilimia ndogo tu ya watu wanaoweza … Endelea kusoma
Watu hukumbwa na shida za kifedha wakati fulani katika maisha yao. Baadhi ya shida hizi za kifedha husababishwa na makosa kadhaa ya pesa. Katika makala haya, … Endelea kusoma
Kila mtu anataka kuwa na maisha ya starehe na kuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji ya wategemezi wake. Msingi wa uimara kama huu wa kifedha ni … Endelea kusoma
Sarafu za kidijitali zimekuwa mojawapo ya kikundi bora cha mali imara mwaka huu. Huku Bitcoin ikionyesha ongezeko la thamani kwa zaidi ya asilimia 100, fahirisi kuu … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Tanzania
Uwekezaji kwenye dhamana za serkali nchini Tanzania ni aina ya mikopo, kama vile dhamana ambayo hutolewa kwa kitega uchumi ambacho huambatana na ahadi ya maandishi ya … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Hisa, Kenya
Kenya ni mojawapo ya nchi yenye uchumi wa hali ya juu zaidi barani Afrika. Kenya ina Pato la Taifa la zaidi ya dola bilioni 74. Hii … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Nigeria, Tanzania, Uwekezaji
HouseAfrica ni chombo kinashughulikia mali isiyohamishika ya gharama nafuu kwa kutumia teknolojia ya blockchain katika kununua na kuuza mali kwa gharama ya chini kwa mbinu salama … Endelea kusoma
Afrika, Benki, Fedha, Kenya, Teknolojia
M-Pesa ni njia ya ubunifu wa kuhifadhi na kuhamisha pesa kwa kutumia simu ya mkononi. Ina wateja wengi na taratibu imeingia hadi nchi nyingine. Ilianzishwa rasmi … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Kenya
Taifa la Kenya limeorodheshwa nafasi ya sita kwa idadi kubwa ya vijana wanaoshiriki kucheza kamari barani Afrika huku mitandao ya kamari na michezo ikiongoza usakuraji wa … Endelea kusoma
Kifungu cha 231(4) cha katiba ya Kenya kinatoa maelezo kuhusu kuunda, kuchapa na kusambaza fedha mpya. Tarehe ya mwisho ya utekelezaji wa kifungu hiki ilipita miaka … Endelea kusoma
Kutokana na maendeleo makubwa ya benki kwa simu za mkono na intaneti, Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya yametoa tahadhari kwa watumiaji wa simu za mkono kuwa … Endelea kusoma