Kuhusu FiFi Finance

Tafsiri:
amde_DEen_USes_ESetfr_FRit_ITnl_NLuk

Lengo la FiFi Finance ni kusaidia watu kujua masuala mbalimbali yanayohusiana na fedha kama vile: Jinsi ya kufungua akaunti ya benki katika nchi mbalimbali, jinsi ya kusajili kampuni ya biashara katika nchi mbalimbali, habari kuhusu mikopo nafuu au isiyo na riba (kama Kiva), jinsi ya kutuma fedha katika nchi mbalimbali Afrika (kwa mfano Kenya au Tanzania), ni vipi mtu anaweza kununua na kuuza Bitcoin nchini Kenya au Tanzania, ni wapi mtu anaweza kutumia Bitcoin Afrika, ushauri kuhusu kuanzisha biashara au kusajili kampuni na kadhalika.

fifi swahili
Lengo la FiFi Finance ni kutoa habari bora na sahihi kuhusu masuala ya fedha ili kuwawezesha watu kuboresha maisha yao binafsi na jamii nzima kwa ujumla.

FiFi Finance

FiFi Finance ni kampuni iliyosajiliwa nchini Estonia inayofanya kazi na timu ya waandishi walioko katika mabara yote duniani.

  • Kwa sasa, habari zetu zinahusu: Afrika, Marekani, Uholanzi, Hispania na Amerika ya Kusini.
  • Waanzilishi wawili wa FiFi Finance wamekuwa wakijenga tovuti toka 1998 na kujihusisha na masuala ya fedha kwa karibu ya miaka 10 sasa. Kwa kutumia uzoefu wao kwenye biashara na maisha, wanaweza kutoa mtazamo mbadala kuhusu masuala ya fedha.
  • FiFi Finance ni mradi wa SEO Crew OÜ.

This post is also available in am, de_DE, en_US, es_ES, et, fr_FR, it_IT, nl_NL and uk.