FiFi Finance Kiswahili

Habari bora na sahihi kuhusu masuala ya fedha kuboresha maisha yako.

Tofauti yetu

FiFi ni tovuti ya habari bora na sahihi kuhusu masuala ya fedha. Lengo letu ni kuboresha maarifa ya fedha ili fedha zimsaidie kila mtu ikiwa ni pamoja na wewe.

Lengo letu linajumuisha FiFi kwa Kiswahili, ambayo huenda ndio tovuti ya kwanza maalum kwa masula ya fedha. Tovuti hii ina makala kuhusu masuala mbalimbali kama vile mikopo, benki, uwekezaji, ujarisiamali, biashara, n.k,

makala za fifi za kiswahili

app za mikopo tanzania

Jinsi ya Kupata Mikopo kwa Simu

Kuna wakati unaweza kuwa na tatizo linalokuhitaji uwe na fedha. Au unaweza kuwa na wazo la biasha ila huna fedha. Unajua kuwa unaweza kupata mkopo wa haraka kwa simu?

namna ya kununua hisa

Jinsi ya Kuwekeza Soko la Hisa Dar Es Salaam

Je unataka kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar Es Salaam? Fahamu makampuni yanayouza hisa Tanzania kama TBL, Vodacom, CRDB, n.k. Jielimishe kuhusu jinsi ya kuwekeza hati fungani za serikali.

Jinsi ya Kununua na Kuuza Bitcoin kwa Mpesa

Biashara ya bitcoin inakua kwa kasi duniani. Jua jinsi ya kununua bitcoin Tanzania au Jinsi ya kununua bitcoin kwa Mpesa Kenya na pia jinsi ya kuwekeza bitcoin.

taratibu za kufungua kampuni

Namna ya Kusajili Kampuni

Kusajili kampuni ni hatua muhimu ya kufanya biashara au shughuli yako kufuata sheria za nchi. Je unajua jinsi ya kusajili kampuni Tanzania au jinsi ya kusajili kampuni Kenya.

online jobs ghana

Jinsi ya Kuuza Bidhaa Mtandaoni

Jifunze toka kwa wataalamu wetu jinsi ya kufanya biashara online. Zijua biashara za mtandaoni zinazolipa, jinsi ya kupata wateja mtandaoni, na pia jinsi ya kufanya biashara ukiwa nyumbani.

mawazo ya biashara tanzania

Biashara za Kufanya 2021

Kuna biashara nyingi za kufanya ambazo bado hazijakumbatiwa. Zijue biashara za kuwekeza 2021. Unaweza pia kujua mawazo ya biashara chipukizi mwaka huu.

Karibu kwa FiFi Finance

FiFi ni tovuti kuhusu masuala kama vile mikopo, uwekezaji, utunzaji wa fedha, biashara ya bitcoin, biashara za mtandaoni, kazi za mtandaoni, n.k. Tovuti hii inaendeshwa na wajuzi wa masuala ya fedha, wajasiriamali 10, ambapo 4 ni wahariri na 6 ni waandishi na watafiti.

Makala kuhusu fedha

Kukupa maarifa

Nyanja muhimu

Habari za kusisimua

Nini unahitaji kujua