Mawazo ya Kibiashara Kwa Wanafunzi Vyuoni Nchini Kenya
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha bila gharama
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha bila gharama
3D Africa ni mradi wa kielimu na mafunzo ambao unafundisha uchapishaji kwa teknolojia ya 3D (uchapishaji wa pande tatu), jinsi ya kuuza vitu tofauti unavyoandaa na
Data rasmi kutoka kwa Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS) zinaonyesha kuwa idadi ya Wakenya wanaopata chini ya shilingi 30,000 kwa mwezi imeongezeka kwa
Ufanyaji kazi huru (wa kujitegemea) unachukua sehemu kubwa ya nguvu kazi kwa uchumi wa nchi. Watu wenye taaluma pamoja na wanafunzi wanakuza vipaji na ujuzi wao
Mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili mataifa ya Afrika ni ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Ni kwa sababu hii ndio maana Waafrika wamechangamkia ufanyakazi huria