Skip to content
FiFi Finance Kiswahili
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana

Ndesanjo

Ndesanjo ni mwanablogu mzoefu na mwandishi wa habari.

Afrika, Afrika Kusini, Benki, Ghana, Kenya, Nigeria, Tanzania, Uganda

Mwongozo wa Huduma za Benki za Kiislamu Afrika

Huduma za benki za Kiislamu au fedha kwa mujibu wa Uislamu ni jumla ya shughuli za benki au fedha ambazo zinaambatana na Sharia (sheria ya Kiislamu) … Endelea kusoma

Afrika, Biashara, Teknolojia

Biashara ya Teknolojia za 3D

3D Africa ni mradi wa kielimu na mafunzo ambao unafundisha uchapishaji kwa teknolojia ya 3D (uchapishaji wa pande tatu), jinsi ya kuuza vitu tofauti unavyoandaa na … Endelea kusoma

jinsi ya kupata bitcoin tanzania

Afrika, Bitcoin, Kenya, Tanzania

Jinsi ya Kupata Bitcoin

Kadri umaarufu wa Bitcoin unavyozidi kuongezeka, watu wengi wamekuwa wakijiuliza jinsi ya kupata Bitcoin. Basi usiwe na shaka, tutakonyesha jinsi ambavyo unaweza kupata Bitcoin. Kwa kufuata … Endelea kusoma

jinsi ya kujiunga na bitcoin tanzania

Afrika, Afrika Kusini, Botswana, Kenya, Nigeria, Uganda

Taarifa 21 za Kufurahisha Upaswazo Kuzijua Kuhusu Bitcoin

Sarafu mtandao iliyokasimiwa madaraka Bitcoin, ina habari nyingi za kuvutia na kufurahisha. Tumechagua habari 21 za kufurahisha ambazo wapaswa kuzijua. 1. Nimehamia Kwenye Mambo Mengine Nani … Endelea kusoma

namna ya kununua hisa

Hisa, Tanzania, Uwekezaji

Jinsi ya Kuwekeza Soko la Hisa Dar Es Salaam

Tangu ilipoanzishwa mwaka 1998, Soko la Hisa la Dar Es Salaam (DSE) ni moja ya chaguzi za uwekezaji zinazopatikana kwa raia na wageni nchini Tanzania. Kulingana … Endelea kusoma

Afrika, Afrika Kusini, Ghana, Kenya, Nigeria

Makampuni Haya Yanabadili Takataka Kuwa Fedha na Ajira Barani Afrika

Idadi kubwa ya Waafrika wamekuja na ubunifu ambao ni suluhisho kwa udhibiti wa takataka ili kutengeneza mazingira safi na yanayokalika na pia kutoa fedha na ajira. … Endelea kusoma

jinsi ya kununua bond

Afrika, Biashara, Fedha, Tanzania

Jinsi ya Kuwekeza Kwa Dhamana za Serikali Nchini Tanzania

Uwekezaji kwenye dhamana za serkali nchini Tanzania ni aina ya mikopo, kama vile dhamana ambayo hutolewa kwa kitega uchumi ambacho huambatana na ahadi ya maandishi ya … Endelea kusoma

jinsi ya kupata kazi online

Kazi za Mtandaoni, Teknolojia

Pata Kazi Mtandaoni

Mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili mataifa ya Afrika ni ukosefu wa ajira, hasa miongoni mwa vijana. Ni kwa sababu hii ndio maana Waafrika wamechangamkia ufanyakazi huria … Endelea kusoma

jinsi ya kujiunga na bitcoin tanzania

Bitcoin, Tanzania

Jinsi ya Kununua Bitcoin Tanzania

Bitcoin inazidi kupata umaarufu nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika kama vile Nigeria, Kenya, na Afrika Kusini. Wakati Watanzania wakionyesha nia ya dhati … Endelea kusoma

jinsi ya kujiunga na bitcoin tanzania

Afrika, Afrika Kusini, Bitcoin, Botswana, Kenya, Nigeria

Tambua Ulaghai wa Bitcoin (Bitcoin Scam)

Bitcoin na sarafu nyinginezo za kidijitali zinazidi kukubalika katika nchi za Afrika kama vile Botswana. Hata hivyo, pana ukosefu wa elimu ya jumla na ufahamu kuhusu … Endelea kusoma

Afrika, Afrika Kusini, Biashara, Kenya, Nigeria

Ulaghai wa Biashara za Kubadilisha Fedha za Kigeni

Ubadilishaji wa fedha za kigeni ni mchakato wa kubadilisha fedha moja kwa nyingine. Kubadili pesa za Kigeni kwa mtandao kumepata umaarufu barani Afrika ambapo wawekezaji watarajiwa … Endelea kusoma

jinsi ya kutumia western union

Tanzania, Tuma Pesa

Jinsi ya Kutuma Pesa Tanzania [Njia Nafuu 2023]

Huduma za kutuma fedha duniani zinazidi kuwa bei nafuu, rahisi na haraka. Tumechagua njia bora ambazo hukuuruhusu kutuma fedha kwa urahisi kwa wanafamilia, marafiki, mwenzi wa … Endelea kusoma

gharama za kusajili kampuni

Biashara, Tanzania

Jinsi ya Kusajili Kampuni Tanzania

Usajili wa jina la biashara na kampuni nchini Tanzania unahusisha taratibu kadhaa, nyaraka na taasisi za kiserikali. Hii ndio hatua ya kwanza ya jinsi ya kufungua … Endelea kusoma

Kuhusu

  • Kuhusu FiFi Finance

Jamii

  • Biashara
  • Fedha
  • Bitcoin
  • Mikopo
  • Teknolojia

Nchi

  • Kenya
  • Nigeria
  • Afrika Kusini
  • Tanzania
  • Ghana
Creative Commons License (cc) 2019-2026 FiFi Finance. Kazi hii ina leseni ya kimataifa ya Creative Commons ya Attribution-ShareAlike 4.0.
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana