Skip to content
FiFi Finance Kiswahili
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana

Afrika, Afya, Elimu, Kenya, Uchumi

Mafunzo Muhimu kwa Bara la Afrika Kutoka kwa Mshindi wa Tuzo la Nobel, Esther Duflo

Esther Duflo ni mchumi Mmarekani aliyezaliwa Paris, Ufaransa tarehe 25 Oktoba 1972. Yeye ni Profesa wa Kupunguza Umaskini na Maendeleo ya Uchumi katika Taasisi ya Teknolojia … Endelea kusoma

jinsi ya kutunza pesa

Ujuzi wa Kifedha

Ushauri wa Jinsi ya Kutunza Pesa

Kuzingatia na kuendeleza mpango wa bajeti ni uamuzi muhimu kwa usimamizi wa mapato na gharama zako za kifedha. Kutayarisha mpango wa bajeti ni hatua ya kwanza … Endelea kusoma

kazi mtandaoni

Kazi za Mtandaoni

Jinsi Ya Kupata Pesa Mtandaoni Kupitia Usahihishaji wa Makala (Proofreading)

Jinsi ulimwengu wa biashara na teknolojia unavyokua, mtandao unazidi kuwa kama kitovu kikubwa cha ajira. Kila kitu sasa kinafanyika mtandaoni na matarajio ya kazi za kila … Endelea kusoma

biashara mtandaoni kupitia shopify

Ecommerce

Jinsi ya Kuuza Kupitia Shopify

Je, unakusudia kuanzisha biashara ya mtandaoni lakini hujui jinsi ya kufanya hivyo? Siku hizi, kuna watumiaji mabilioni wa mtandao ulimwenguni kote. Hii inamaanisha kuwa fursa ya … Endelea kusoma

makosa ya pesa ya vijana

Ujuzi wa Kifedha

Jua Makosa ya Kifedha ya Pesa Ukiwa Kijana

Orodha ya Forbes ya watu tajiri zaidi ulimwenguni imejaa watu ambao walianzisha kampuni zao wakiwa vijana. Watu kama Mark Cuban, Bill Gates, na Michael Dell walijijengea … Endelea kusoma

jinsi ya kutunza pesa

Ujuzi wa Kifedha

Vidokezo vya Jinsi ya Kutunza Pesa

Watu wengi barani Afrika wanatatizika kifedha kutokana na hali ngumu ya kiuchumi. Licha ya kuwepo na ongezeko la mshahara, ni asilimia ndogo tu ya watu wanaoweza … Endelea kusoma

biashara za kufanya ukiwa chuoni

Ajira, Kazi za Mtandaoni

Jinsi ya Kupata Pesa Ukiwa Chuoni Bila Kupitwa na Masomo

Chuo kinaweza kuwa kipindi cha kufurahisha katika maisha ya mtu. Binafsi, wakati nikiwa chuoni ulikuwa ni muda bora zaidi wa maisha yangu. Kuwepo kwa uhuru, muda … Endelea kusoma

mkopo tala

Kenya, Mikopo

Jinsi ya Kupata Tala Mkopo Rahisi Kwa Mpesa

Wakati mwingine unaweza kupatwa na mahitaji ya kifedha ya dharura. Hali hii hupelekea kukupelekea kutafuta njia za kupata pesa haraka.  Tala loans hutoa mikopo ya dharura … Endelea kusoma

biashara za mtaji mdogo

Biashara

Orodha ya Biashara za Kufanya Bila Mtaji (Au Biashara za Mtaji Mdogo)

Kwa watu wanaotaka kuanzisha biashara, wao hukabiliwa na changamoto nyingi. Kuu kati yazo ikiwa ukosefu wa mtaji wa kuanza. Kuna biashara nyingi ambazo mtu anaweza kuanzisha … Endelea kusoma

yellow card tanzania

Afrika, Bitcoin

Tathmini Ya 2022 Ya Yellow Card App

Yellow Card ni wakala wa bitcoin Tanzania na Kenya. Unaweza kununua bitcoin kupitia kampuni hii kwa kutumia pesa za rununu kama vile Mpesa, akaunti ya benki … Endelea kusoma

wavuti ya ecommerce tanzania

Ecommerce, Kazi za Mtandaoni, Tanzania

Tovuti Bora za Ecommerce za Tanzania

Biashara za mtandaoni (ecommerce) ni mojawapo ya sekta inayokua kwa kasi sana nchini Tanzania. Kuna idadi kubwa ya watu wanaonunua bidhaa mtandaoni kwa sababu ya kuongezeka … Endelea kusoma

jinsi ya kuepuka madeni

Ujuzi wa Kifedha

Makosa Ya Pesa Ya Kuepuka

Watu hukumbwa na shida za kifedha wakati fulani katika maisha yao. Baadhi ya shida hizi za kifedha husababishwa na makosa kadhaa ya pesa. Katika makala haya, … Endelea kusoma

bitcoin wallet tanzania

Bitcoin

Orodha ya Pochi za Bitcoin (Bitcoin Wallet) Salama Zaidi

Bitcoin, pesa ya kidijitali iliyoanzishwa mwaka 2009, imeendelea kukua. Kufikia sasa, mtaji wa soko la Bitcoin ni kubwa kuliko kampuni nyingi kubwa kama vile Nike, IBM, … Endelea kusoma

Bitcoin

Bitcoin

Jinsi ya Kuelewa Bitcoin

Bitcoin ni fedha za elektroniki zinazosambazwa na kutumiwa bila kusimamiwa na mamlaka yeyote kama vile kampuni, serikali au benki kuu. Shughuli za Bitcoin zinaweza kufanywa kwa … Endelea kusoma

upwork tanzania

Kazi za Mtandaoni

Jinsi ya Kupata Pesa Mtandaoni Kupitia Upwork

Upworkni tovuti ya kazi za kujitegemea mtandaoni. Je, unaweza kujikimu kifedha kwenye intaneti kupitia Upwork? Jibu la dhahiri ni, ndiyo! Ikiwa unataka kujichumia pesa kupitia Upwork … Endelea kusoma

affiliate marketing tanzania

Ajira, Biashara, Kazi za Mtandaoni

Jinsi Ya Kujipatia Pesa Kupitia ‘Affiliate Marketing’

Je, unaweza kupata pesa kupitia uuzaji wa kushirikishwa (affiliate marketing kwa Kiswahili)? Uuzaji wa ushirikishi ni mojawapo ya biashara online unayoweza kutumia kujipatia pesa hasa kama … Endelea kusoma

Older posts
Page1 Page2 … Page6 Next →

Kuhusu

  • Kuhusu FiFi Finance

Jamii

  • Biashara
  • Fedha
  • Bitcoin
  • Mikopo
  • Teknolojia

Nchi

  • Kenya
  • Nigeria
  • Afrika Kusini
  • Tanzania
  • Ghana
Creative Commons License (cc) 2019-2025 FiFi Finance. Kazi hii ina leseni ya kimataifa ya Creative Commons ya Attribution-ShareAlike 4.0.
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana