Kazi za Mtandaoni Zinazolipa
Kazi za kwenye intaneti (online jobs) ni fursa nzuri ya kujipatia mapato na kukuza ujuzi wako katika uchumi wa kidijitali. Kuna kazi nyingi za mtandaoni kwa … Endelea kusoma
Kazi za kwenye intaneti (online jobs) ni fursa nzuri ya kujipatia mapato na kukuza ujuzi wako katika uchumi wa kidijitali. Kuna kazi nyingi za mtandaoni kwa … Endelea kusoma
Waandishi wengi wazuri hujiuliza, “Ninawezaje kupata pesa kupitia uandishi mtandaoni?” Unaweza kupata pesa ukiwa nyumbani kwako, ikiwa una shahada au huna kwa kujipatia pesa za ziada … Endelea kusoma
Mojawapo ya mfumo wa kidijitali ambao inaruhusu watu kujipatia pesa ni YouTube. Tangu kuzinduliwa mwaka wa 2005 na hatimaye kupokelewa na Google mwaka wa 2006, ulingo … Endelea kusoma
Sehemu ya ndoto ya Kenya ni kumiliki nyumba. Walakini, kuwa na nyumba nchini Kenya sio rahisi. Kwa mfano, mtu anahitaji kujua ni bora kati ya kununua … Endelea kusoma
Uwezo wa mawasiliano ya kimataifa kwa kompyuta umetoa nafasi kwa wauzaji wa Afrika kufanya biashara zao mtandaoni. Kuna mifumo mbalimbali ya mtandaoni barani Afrika ambayo husaidia … Endelea kusoma
Maeneo ya kazi ya kushirikiana ni mahali ambapo watu hukutana na kazi kwa kujitegemea. Wanaweza kufanya kazi katika vikundi au binafsi. Maeneo ya kazi ya kushirikiana … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Biashara Chipukizi
Venture Capital for Africa (VC4A) inawaunganisha wajasiriamali wa biashara chipukizi wa Afrika na ujuzi, mipango ya usaidizi, washauri na wawekezaji wanaohitaji ili kufanikiwa. VC4A ilianzishwa kwenye … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Biashara Chipukizi, Kenya
Kenya ni mojawapo ya nchi zinazoongoza katika uvumbuzi wa kiteknoljia katika Afrika. Hii ndiyo sababu mazingira yake ya kiteknolojia nchini humo ni maarufu kwa jina la … Endelea kusoma
Watu wengi hawaelewi kwa nini serikali hulazimika kuwatoza sehemu ya mapato yao. Ni kawaida kwetu sote kuwa na matamanio ya kuishi katika nchi ambayo maendeleo yatatufaidi … Endelea kusoma
Kama mwanafunzi, unaweza kuwa na muda mwingi wa kujihusisha na shughuli za ujasiriamali. Kuna fursa mbalimbali za kibiashara ambazo wanafunzi wa vyuoni wanaweza kuanzisha bila gharama … Endelea kusoma
Afrika ni mojawapo ya maeneo yanayokua kwa kasi duniani. Iko katika awamu ambapo serikali na sekta binafsi zinajitahidi kuendeleza huduma zilizopo na mifumo ili kuambatana na … Endelea kusoma
Afrika, Afrika Kusini, Biashara, Kenya, Misri, Nigeria, Tanzania
Uchumi wa Afrika kwa kiasi kikubwa huendeshwa na biashara ndogo na za wastani (SMEs). Hata hivyo, biashara chipukizi mara nyingi zinakabiliwa na changamoto mbalimbali za kibiashara … Endelea kusoma
Afrika, Afrika Kusini, Benki, Ghana, Kenya, Nigeria, Tanzania, Uganda
Huduma za benki za Kiislamu au fedha kwa mujibu wa Uislamu ni jumla ya shughuli za benki au fedha ambazo zinaambatana na Sharia (sheria ya Kiislamu) … Endelea kusoma
Biashara zilizoshirikishwa (franchise) ni leseni ya kibiashara ambayo inaruhusu mtu au biashara nyingine kuuza bidhaa au kutoa huduma kwa kutumia nembo na kitambulisho cha biashara nyingineyo. … Endelea kusoma
Biashara Chipukizi, Kenya, Tanzania
Kiwango cha juu cha ukosefu wa ajira wanachokabiliana nacho vijana kimeendelea kuibua wasiwasi kubwa duniani kote. Kimataifa, kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana ni suala … Endelea kusoma