Skip to content
FiFi Finance Kiswahili
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana

Afrika, Afya, Bima, Kenya, Tanzania

Kampuni Chipuzi za Bima Zinazotoa Huduma ya Afya kwa Wananchi wenye Mapato ya Chini Nchini Kenya na Tanzania

Kampuni za bima hutoa huduma mbalimbali kwa lengo la kupunguza hasara za kifedha zinazoweza kutokana na majanga ya kiafya yasiyotarajiwa. Hata hivyo, kupokelewa kwa huduma hizi … Endelea kusoma

akiba pesa app

Afrika, Ujuzi wa Kifedha

Jinsi ya Kuweka Akiba

Kila mtu anataka kuwa na maisha ya starehe na kuwa na uwezo wa kukidhi mahitaji ya wategemezi wake. Msingi wa uimara kama huu wa kifedha ni … Endelea kusoma

app za mikopo tanzania

Kenya, Mikopo, Rwanda, Tanzania, Uganda

Mikopo ya Haraka Kwenye Simu na Mtandao Afrika Mashariki

Kutokana na mapinduzi ya teknolojia za pesa kupitia simu za mkononi kama vile Mpesa, siku hizi ni rahisi kupata mikopo ya haraka bila dhamana Tanzania, Kenya, … Endelea kusoma

biashara ya mtandaoni inayolipa

Afrika, Biashara Chipukizi, Ecommerce

Biashara za Mtandaoni Zinazolipa

Kutokana na ongezeko la matumizi ya simu za kisasa na intaneti, biashara za online zimepanuka. Kwa bahati mbaya, wajasiriamali wengi na watu wasio na ajira hawana … Endelea kusoma

One of the co-working spaces in Morocco

Afrika, Biashara Chipukizi, Kenya, Rwanda, Tanzania, Uganda

Co-working Space Tanzania, Kenya, na Kwingineko

Ofisi za kupangisha za ushirikianoni aina mpya ya ofisi ambazo hukusaidia kutotumia pesa nyingi kwa kodi za ofisi. Katika siku za karibuni, kumekuwa na ongezeko la … Endelea kusoma

Afrika, Biashara, Kenya

Wanamuziki Tajiri Zaidi Nchini Kenya na Kile Tunachoweza Kujifunza Kutoka Kwao

Awali, idadi kubwa ya Wakenya waliuona muziki kama aina ya burudani tu ambayo mtu huweza kushiriki katika kipindi chake cha mapumziko. Baada ya kuona jinsi wasanii … Endelea kusoma

ulaghai forex

Afrika, Fedha

Ulaghai wa Sarafu za Kidijitali na Jinsi ya Kuepuka

Sarafu za kidijitali zimekuwa mojawapo ya kikundi bora cha mali imara mwaka huu. Huku Bitcoin ikionyesha ongezeko la thamani kwa zaidi ya asilimia 100, fahirisi kuu … Endelea kusoma

biashara uwekezaji kenya

Biashara, Kenya, Uwekezaji

Vitega Uchumi Vilipavyo Malipo Kwa Kila Mwezi Nchini Kenya

Katika uchumi huu wenye changamoto nchini Kenya, watu wanaangalia njia zitakazowawezesha kupata fedha. Njia nzuri zaidi ni kuwekeza fedha kidogo uliyo nayo ili kuweza kuzalisha mifereji … Endelea kusoma

Afrika, Biashara, Teknolojia

Biashara ya Teknolojia za 3D

3D Africa ni mradi wa kielimu na mafunzo ambao unafundisha uchapishaji kwa teknolojia ya 3D (uchapishaji wa pande tatu), jinsi ya kuuza vitu tofauti unavyoandaa na … Endelea kusoma

Afrika, Afya, Elimu, Kenya, Uchumi

Mafunzo Muhimu kwa Bara la Afrika Kutoka kwa Mshindi wa Tuzo la Nobel, Esther Duflo

Esther Duflo ni mchumi Mmarekani aliyezaliwa Paris, Ufaransa tarehe 25 Oktoba 1972. Yeye ni Profesa wa Kupunguza Umaskini na Maendeleo ya Uchumi katika Taasisi ya Teknolojia … Endelea kusoma

ajira kenya

Afrika, Ajira, Kenya

Ajira Zenye Malipo Bora na Malipo Duni Nchini Kenya

Data rasmi kutoka kwa Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu ya Kenya (KNBS) zinaonyesha kuwa idadi ya Wakenya wanaopata chini ya shilingi 30,000 kwa mwezi imeongezeka kwa … Endelea kusoma

makampuni makubwa

Afrika Kusini, Kenya, Nigeria, Uwekezaji

Makampuni Makubwa ya Kuwekeza (Invest)

Bara la Afrika ni la pili kwa ukubwa baada ya Bara la Asia, kwa ukubwa na kwa wingi wa watu. Kwa miaka kadhaa, bara hili limekuwa … Endelea kusoma

kampuni zinazotoa huduma za kifedha

Afrika, Biashara Chipukizi, Teknolojia za Kifedha

Kampuni 4 Chipukizi Zinazotoa Huduma za Kifedha Afrika

Ndani ya kipindi cha muongo mmoja uliopita, Afrika imepiga hatua kutoka eneo lisilo na maendeleo na kuwa bara la kutazamwa kwenye mambo ya uchumi na jamii. … Endelea kusoma

Afrika, Biashara, Kenya, Teknolojia

Silicon Savannah: Jinsi Vitovu vya Kiteknolojia Vinachangia Kukuza Uchumi

Nairobi imekuwa chimbuko la uvumbuzi nchini Kenya, na huku kumechangia sana kuongezeka kwa mazingira ya kiteknolojia maarufu kama ‘Silicon Savannah.’ Mazingira haya ya kiteknolojia yamegeuza Nairobi … Endelea kusoma

biashara ya mtaji mdogo

Biashara, Kenya, Tanzania

Biashara 6 Unazoweza Kuanzisha kwa Mtaji Mdogo Nchini Kenya

Je, unatafuta biashara unayoweza kuianzisha nchini Kenya ukiwa na mtaji mdogo? Makala hii itakuonyesha biashara 6 ambazo unaweza kuanzisha mara moja kwa mtaji mdogo. Labda una … Endelea kusoma

Older posts
Newer posts
← Previous Page1 Page2 Page3 Page4 … Page6 Next →

Kuhusu

  • Kuhusu FiFi Finance

Jamii

  • Biashara
  • Fedha
  • Bitcoin
  • Mikopo
  • Teknolojia

Nchi

  • Kenya
  • Nigeria
  • Afrika Kusini
  • Tanzania
  • Ghana
Creative Commons License (cc) 2019-2025 FiFi Finance. Kazi hii ina leseni ya kimataifa ya Creative Commons ya Attribution-ShareAlike 4.0.
  • Biashara
  • Fedha
  • Mikopo
  • Bitcoin
  • Nchi
    • Kenya
    • Tanzania
    • Nigeria
    • Afrika Kusini
    • Ghana