Jua Kali – Sekta Isiyo Rasmi Inayonawiri Nchini Kenya
Jua kali ilibuniwa wakati wa ukoloni kwakuwa kazi ya jua kali ilifanywa hasa na wale waliokuwa wameacha shule. Wafanyabiashara wengi wa kazi za ufundi hufanya kazi … Endelea kusoma
Jua kali ilibuniwa wakati wa ukoloni kwakuwa kazi ya jua kali ilifanywa hasa na wale waliokuwa wameacha shule. Wafanyabiashara wengi wa kazi za ufundi hufanya kazi … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Nigeria, Tanzania, Uwekezaji
HouseAfrica ni chombo kinashughulikia mali isiyohamishika ya gharama nafuu kwa kutumia teknolojia ya blockchain katika kununua na kuuza mali kwa gharama ya chini kwa mbinu salama … Endelea kusoma
Kununua Bitcoin, hakuhitaji mtu kuwa na fedha nyingi. Kwa bahati nzuri, hata kwa dola moja, bado waweza kununua sarafu za kidijitali. Sarafu za kidijitali ni fedha … Endelea kusoma
Afrika, Benki, Fedha, Kenya, Teknolojia
M-Pesa ni njia ya ubunifu wa kuhifadhi na kuhamisha pesa kwa kutumia simu ya mkononi. Ina wateja wengi na taratibu imeingia hadi nchi nyingine. Ilianzishwa rasmi … Endelea kusoma
Tunajua jinsi ilivyo ngumu kujenga kampuni mpya. Hasa inayojihusisha na masuala ya fedha. Njia moja tunayoweza kukusaidia ni kukuonyesha wewe na bidhaa yako au huduma yako … Endelea kusoma
Afrika, Afrika Kusini, Afya, Botswana, Ghana, Rwanda
Huduma za Afya kwa Wote ni mpango wa serikali wa kutoa huduma bora za afya kwa wananchi wote bila kuangazia uwezo wao wa kugharamia tiba. Mwaka … Endelea kusoma
Kutokana na uporaji mkubwa wa fedha za umma nchini Kenya, mashirika tofauti ya kiserikali, yasiyo ya kiserikali na raia wenyewe wameanzisha mipango mbalimbali ya kupambana na … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Fedha, Kenya
Taifa la Kenya limeorodheshwa nafasi ya sita kwa idadi kubwa ya vijana wanaoshiriki kucheza kamari barani Afrika huku mitandao ya kamari na michezo ikiongoza usakuraji wa … Endelea kusoma
Ikiwa unafikiria kuishi nchini Kenya, ni muhimu kufungua akaunti ya benki. Ni jambo la kushukuru kwamba Kenya tuna benki nyingi za kuchagua, benki za Kenya na … Endelea kusoma
Mkopo maalum kwa ajili ya ununuzi wa mali isiyohamishika, inazidi kupatikana kwa urahisi nchini Kenya. Mikopo hii mara nyingi mkopo wa nyumba au mkopo wa ardhi. … Endelea kusoma
Sera ya Kitaifa ya Ulinzi wa Jamii ni hatua ya ulinzi inayoongeza fursa kwa watu masikini na inakusudia kuboresha maisha yao na ustawi. Pia husaidia watu … Endelea kusoma
Watu hujiandaa kwa uzee na kustaafu kwa njia tofauti. Baadhi huwekeza kwa watoto wao kama namna ya kujikimu wazeekapo wakati wengine huwekeza kwenye mafao. Mafao ya … Endelea kusoma
Afrika, Biashara, Biashara Chipukizi, Kenya, Mikopo
Kenya iliorodheshwa katika nafasi ya tatu bora katika Ripoti ya Uwekezaji ya 2018. Ripoti hiyo pia ilionyesha kuwa kulikuwa na ongezeko la asilimia 300 la jumla … Endelea kusoma
National Hospital Insurance Fund (NHIF) hutoa bima ya afya kwa watu katika sekta rasmi na sekta isiyo rasmi. Kwa watu katika sekta rasmi, NHIF ni huduma … Endelea kusoma
Bitcoin inazidi kupata umaarufu nchini Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine za Afrika kama vile Nigeria, Kenya, na Afrika Kusini. Wakati Watanzania wakionyesha nia ya dhati … Endelea kusoma